login create an account

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

JOIN OUR MAILING LIST

Name
Company/School
Your email:
bulk email service

Kashida katika Shida

Product Code: po
Availability: In Stock
Price:
Kshs.320.00/=

Qty: - +
   - OR -   
Tags:
Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia. Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama. Kuna kitu fulani cha ajabu mwilini pa Kashida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milki isipate majanga. Je, Kashida atauawa? Yawezekanaje Kashida awe malkia mwenye sifa na nguvu nyingi. Usingoje uambiwe usome! Anza sasa...

Write a review


Your Name:


Your Review: Note: HTML is not translated!

Rating: Bad           Good

Enter the code in the box below: