login create an account

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

JOIN OUR MAILING LIST

Name
Company/School
Your email:
bulk email service

Bintu na Bintutu

Product Code: po
Availability: In Stock
Price:
Kshs.250.00/=

Qty: - +
   - OR -   
Tags:
Bintu na Bintuntu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijiji wa Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu uliokuwa karibu na kijiji hicho. Bwana Bintu anafunga safari
hadi kijijini Bantu kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto. Baada ya kuelezwa, mke wake Bintuntu anatumia ushauri huo na kuyaua majitu yote!
Familia ya Bintu na Bintuntu inaleta ushindi mkubwa kijijini Bintunke. Baada ya hapo usalama, usafiri, elimu, utalii miongoni mwa mambo mengi ya kimaisha yanaimarika

Write a review


Your Name:


Your Review: Note: HTML is not translated!

Rating: Bad           Good

Enter the code in the box below: