login create an account

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

JOIN OUR MAILING LIST

Name
Company/School
Your email:
bulk email service

Ahaa! Roda

Product Code: Children Readers
Availability: In Stock
Price:
Kshs.295.00/=

Qty: - +
   - OR -   
Tags:

Roda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani - ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza, anatoweka asijulikane alipo. Pili, mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.

Write a review


Your Name:


Your Review: Note: HTML is not translated!

Rating: Bad           Good

Enter the code in the box below: