login create an account

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

JOIN OUR MAILING LIST

Name
Company/School
Your email:
bulk email service

Sungura Hakimu na Hadithi Nyingine

Product Code: Children Readers
Availability: In Stock
Price:
Kshs.190.00/=

Qty: - +
   - OR -   
Tags:

Sungura ni mvivu na hataki kufanya kazi. Hata hivyo anatamani maisha ya raha mustarehe kama mfalme. Ni lazima atumie akili vizuri la sivyo atakufa njaa. Sungura Hakimu na hadithi nyingine ni hadithi ambayo imeandikwa kwa namna ya kupigiwa mfano. Sungura anatoka katika hali ya umaskini wa ombaomba na kuwa mfalme. Namna gani? Isome
hadithi hii na nyingine ufaidi utamu wake.

Write a review


Your Name:


Your Review: Note: HTML is not translated!

Rating: Bad           Good

Enter the code in the box below: