login create an account

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

JOIN OUR MAILING LIST

Name
Company/School
Your email:
bulk email service

Madalala Abadilika

Product Code: Children Readers
Availability: In Stock
Price:
Kshs.150.00/=

Qty: - +
   - OR -   
Tags:

Awali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni, wanafunzi wenzake walimbagua na kukatakucheza naye. Siku moja alikuwa mgonjwa. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba.

Write a review


Your Name:


Your Review: Note: HTML is not translated!

Rating: Bad           Good

Enter the code in the box below:
Related Products (1)