login create an account

Kiswahili Readers

Display: List / Grid
Show:
Sort By:
Adhabu ya Siafu
Adhabu ya Siafu inalenga kuwafunza watoto umuhimu wa kufuata maagizo na mawaidha ya wazazi. Ni on..
Kshs.150.00/=
Based on 0 reviews.
Ahaa! Roda
Roda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani - ndoto ya kuwa jaji. Maisha katik..
Kshs.295.00/=
Based on 0 reviews.
Hamnazo na Hadithi Nyingine
Halima na Hamnazo walikua marafiki wa karibu. Kila mahali walipotumwa walienda pamoja. Walicheza,..
Kshs.250.00/=
Based on 0 reviews.
Kangaruu wa Samawati
Matendechere anaona kwamba wazazi wake hawamthamini na kwa hivyo haamini anaweza kupata matokeo b..
Kshs.190.00/=
Based on 0 reviews.
Kito Apepeta
Kito, msichana mdogo wa shule ya msingi ana kipawa cha kuimba. Kila apatapo nafasi anakuza kipawa..
Kshs.150.00/=
Based on 0 reviews.
Laana ya Mkufu
Mfalme Monamwezi hana muda mrefu wa kuishi. Anamrithisha ufalme mwanawe Kisangasanga. Mwanzoni, K..
Kshs.295.00/=
Based on 0 reviews.
Madalala Abadilika
Awali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni, wanafunzi wenzake walimbagua na kukatak..
Kshs.150.00/=
Based on 0 reviews.
Mazingira Maridadi
Mazingira Maridadi ni hadithi inayozindua msururu ‘Mazingira na Afya’ unaoangazia na kusisitiza k..
Kshs.150.00/=
Based on 0 reviews.
Mchezo wa Mtelezo na Hadithi Nyingine
Katika Mchezo wa Mtelezo, Mwalimu mkuu anawashauri wanafunzi kwenda nyumbani mapema kwani shule y..
Kshs.250.00/=
Based on 0 reviews.
Mwisho wa Ujambazi
Matata amemaliza kifungo chake na hatimaye kutoka gerezani. Huu ni mwanzo wa shida nyingi hasa ka..
Kshs.295.00/=
Based on 0 reviews.
Shangazi Katili
Makena anayaishi maisha ya mateso chini ya shangazi yake. Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa..
Kshs.190.00/=
Based on 0 reviews.
Sifuri Nyani Mtalii
Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili ..
Kshs.190.00/=
Based on 0 reviews.
Siri ya Baba Yangu
Ni wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake..
Kshs.295.00/=
Based on 0 reviews.
Sungura Hakimu na Hadithi Nyingine
Sungura ni mvivu na hataki kufanya kazi. Hata hivyo anatamani maisha ya raha mustarehe kama mfalm..
Kshs.190.00/=
Based on 0 reviews.
Tausi na Majuto katika Kisa Cha Gaidi Lii
Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya kuua na kuf..
Kshs.295.00/=
Based on 0 reviews.